CELEB LOOK OF THE DAY:::CATHERINE TYLDESLEY IN A RED LACE DRESS
A PERFECT DRESS FOR A DINNER DATE KWENYE
FANCY PLACED BUT HUO MBURUZO UNA KASHDA AKE AU FOR A WEDDING KUNAKUWAGA
NA ZILE CLASSY WEDDING SASA GAUNI KAMA HILI NI PERFECT .HATA KWA WALE WA
SEND OFF PARTY THIS DRESS INAKUWEZA KUWA PERFECT KWA SIKU YAKO HIYO.
THE DRESS INA UREMBO MZURI WA KUDARIZI KWA MBELE NA KWA NYUMA ,WITH A DRESS LIKE THIS HUHITAJI ACCESSORIES
0 comments:
Post a Comment