7 WAYS TO ROCK SAFARI TROUSERS

Huyu blogger katisha ,kweli she must be loving this safari pants too much to re rock it 7 times and may be more will come.Ukiona mtu ana re rock sana something lazima anakipenda sana au kiko very comfortable hata being easy to style.
MYBLONDEGIRL (3)
Look one she wore the safari pants with shades of red and white where she wore a .
MYBLONDEGIRL (6)
With a pop of color hapa alitinga her safari nude pants with cool colors akaona akitupia blue pumps itafanya muonekano wake uwe na color
MYBLONDEGIRL (1)
Safari pants with sneakers
MYBLONDEGIRL (2)
for those chilly days kuna kibaridi cha hapa na pale waweza vaa the safari trousers na a trench coat
MYBLONDEGIRL (7)
Color blocking

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment